HARMONIZE NA ALI KIBA WALAMBA DILI NONO LA UBALOZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Wasanii wa Bongofleva, Alikiba na ‘Harmonize wameteuliwa kuwa mabalozi wa ‘Safisha, Pendezesha’ Dar es Salaam, ukiwa ni mkakati wa usafi na uhifadhi wa mazingira mkoani humo. Akizungumza katika hafla ya kunadhifisha jiji la Dar es Salaam,Ali Kiba amepongeza shughuli ya kuwahamisha wafanyabiashara kuhusu usafi ilivyofanyika na kuwataka wajue kwamba serikali ya Tanzania ina nia nzuri […]
Read More