HARRY CRAZEE WA RICO GANG AFUNGUKA KUPONZWA NA WANAWAKE KWENYE MUZIKI WAKE.

HARRY CRAZEE WA RICO GANG AFUNGUKA KUPONZWA NA WANAWAKE KWENYE MUZIKI WAKE.

Msanii wa Rico Gang, Harry Crazee amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha yake kwa kusema kwamba karibu wanawake aliokuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi wamuharibie shughuli zake za muziki. Katika mahojiano yake hivi karibuni amesema alijipata ameingia kwenye msongo wa mawazo na kuanza kubugia pombe kupindukia kutokana na shinikizo alizokuwa anapewa na wanawake aliokuwa nao kwenye mahusiano […]

Read More