Mama Fina amkingia kifua mwimbaji wa Kadongo Kamu Hassan Nduga kwa tuhuma za wizi

Mama Fina amkingia kifua mwimbaji wa Kadongo Kamu Hassan Nduga kwa tuhuma za wizi

Mganga wa kienyeji kutoka nchini Uganda Mama Fina ameamua kumkingia kifua mwimbaji wa Kadongo Kamu Hassan Nduga baada ya kutuhumiwa kuhusika kwenye wizi wa pesa za kugharamia matibabu ya msanii Ronald Alimpa aliyehusika kwenye ajali mbaya ya barabarani wiki iliyopita. Mama Fina amenyosha maelezo kwa kusema kuwa hakumpa Hassan Nduga pesa za Ronald Alimpa kama […]

Read More
 Mwanamuziki Ronald Alimpa asikitishwa na waliofuja pesa za kugharamia matibabu yake

Mwanamuziki Ronald Alimpa asikitishwa na waliofuja pesa za kugharamia matibabu yake

Msanii kutoka nchni Uganda Ronald Alimpa ameonesha kusikitishwa na kitendo cha msanii mwenzake Hassan Nduga kuhusika kwenye wizi wa pesa za msaada alizopewa na wahisani kwa ajili ya kugharamia matibabu yake. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Alimpa amesema  msanii huyo alifuja takriban shillingi millioni 1.5 kati ya millioni 2 alizopokea kutoka kwa msamaria mwema kwa […]

Read More