BAHATI ALAMBA DILI NONO YA UBALOZI, HAVA CABS
Nyota wa muziki nchini Bahati ameingia ubia wa kufanya kazi na kampuni ya magari ya Hava Cabs inayojihusisha na uchukuzi. Bahati ametengaza habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram huku akieleza kuwa ana furaha kujiunga na familia ya Hava Cabs. Hitmaker huyo wa “Pete Yangu” sasa atatakiwa kutangaza huduma za Hava […]
Read More