Khaligraph Jones Ampongeza DJ Sadic kwa Kuongeza Uzito na Kuweka Bidii Gym
Msanii maarufu wa muziki wa hip hop nchini Kenya, Khaligraph Jones, amempongeza DJ Sadic kwa mabadiliko yake ya kimwili baada ya kuongeza uzito kutokana na juhudi zake za mara kwa mara kwenye mazoezi ya viungo. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Khaligraph alielezea jinsi alivyoshtushwa na mabadiliko ya DJ Sadic, ambaye zamani alikuwa mwembamba kupita kiasi. […]
Read More