HIGH SCHOOL ALBUM YA HARMONIZE YAWEKA REKODI APPLE MUSIC NA AUDIO MACK
Ikiwa bado haijatimiza wiki moja, album mpya ya msanii wa Bongofleva Harmonize iitwayo “High School” imejiwekea rekodi ya aina yake kupitia Apple Music. Tangu iachiwe Novemba 5, Album hiyo imefanikiwa kuchumpa na kuingia kwenye Top albums za mtandao wa apple music Tanzania. Album hiyo yenye jumla ya mikwaju 20 ya moto, imekamata namba moja huku […]
Read More