Holy Dave akanusha tuhuma za kumshambulia mtu kwa chupa ya pombe
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Holy Dave amekanusha madai ya kumjeruhi mtu kwa chupa ya pombe kwenye moja ya klabu ya usiku huko Kilimani, Nairobi. Akimjibu shabiki yake aliyemtupia maneno makali mtandaoni baada ya kutajwa kuhusika kwenye kashfa hiyo, Holy Dave amesema ameshangazwa na namna watu wanavyomhukumu bila kujua undani wa taarifa hiyo. Mwanamuziki […]
Read More