Eric Omondi Asaida Nyanya wa Homa Bay Aliyetoa Kuku kwa Ajili ya Elimu ya Wajukuu
Mchekeshaji maarufu wa Kenya, Eric Omondi, ameonesha tena moyo wake wa huruma baada ya kusaidia kuchangisha zaidi ya KSh 800,000 kwa ajili ya Nyanya mmoja kutoka Homa Bay aliyevutia hisia za Wakenya kwa kubeba kuku hadi shuleni kama njia ya kulipa ada ya wajukuu wake. Tukio hilo lilivuma mitandaoni baada ya picha na video za […]
Read More