Mwanamuziki kutoka Kenya Hopekid ajizawadi gari mpya aina ya Mercedes Benz
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Hopekid ameamua kutumia ipasavyo pesa ambazo anazitolea jasho Hii ni baada ya kujizawadi gari aina Mercedes Benz kutokana na mafanikio ambayo ameyapata kupitia muziki wake. Kupitia ukurasa wake instagram amechapisha picha ya gari yake mpya na kusindikiza na ujumbe unaosomeka “Allow me to celebrate my small wins with you […]
Read More