ITAKUGHARIMU SHILLINGI MILLIONI 113 KUPATA MTOTO NA MREMBO HUDDAH MONROE
Mwanamitindo na mjasiriamali maarufu nchini Kenya Huddah Monroe, ameweka wazi kuwa yuko tayari kuwa mama ikiwa mwanamume anayetamani kupata naye watoto ataweka mezani kitita cha $1,000, 000 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi millioni 113 za Kenya. Huddah ameweka wazi kuwa atakuwa tayari kuwa mama kwa mwanamume anayetamani kupata naye watoto endapo ataweka mezani […]
Read More