50 Cent mbioni kuja na filamu kuhusubmaisha ya tapeli maarufu wa Nigeria, Hushpuppi
Rapa, muigizaji na muandaaji wa show za Tv na filamu kutoka Marekani, Curtis James Jackson III maarufu kama 50 Cent, ametangaza mpango wake kwa mashabiki kwamba anaandaa series itakayohusu maisha ya Ramon Abbas maarufu Hushpuppi ambaye ni raia wa Nigeria aliyejipatia umaarufu mkubwa duniani kwa utapeli mitandaoni. 50 Cent ambaye ameshatayarisha series kama Power, Power […]
Read More