HUSSEIN MACHOZI KUTUMBUIZA ITALIA KWENYE HAFLA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

HUSSEIN MACHOZI KUTUMBUIZA ITALIA KWENYE HAFLA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

Ubalozi wa Tanzania huko nchini Italia umempa shavu mwanamuziki Hussein Machozi ambaye anaishi nchini humo, kutoa burudani kwenye hafla ya kuadhimisha siku ya Kiswahili, mjini Rome Italia Julai 7, mwaka huu. Hussein Machozi ambaye anajulikana kwa ngoma zake kama “Kwa ajili yako”, “Hello”, “Addicted”, “Utaipenda”, “Unanifaa”, “Hoi” na nyingine nyingi, ametajwa kama mwanamuziki atakayenogesha siku hiyo […]

Read More