Liverpool Mbioni Kumuuza Konaté
Klabu ya Liverpool inatazamia kumuuza beki wake wa kati, Ibrahima Konaté, katika dirisha la usajili la msimu wa joto endapo mchezaji huyo ataendelea kukataa ofa ya mkataba mpya wa kusalia Anfield. Raia huyo wa Ufaransa ameonyesha nia ya kujiunga na klabu kubwa ya Real Madrid ya Hispania katika dirisha hili la usajili, jambo ambalo limekuwa […]
Read More