Bien Aweka Historia: Mkenya wa Kwanza Kuujaza Ukumbi wa Indigo at The O2 London
Msanii Bien-Aimé Baraza, mmoja wa waimbaji wa kundi maarufu la Sauti Sol, ameandika historia mpya kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuuza tiketi zote (sold out) kwa mara ya pili kwenye ukumbi maarufu wa Indigo at The O2, mjini London. Tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki limepongezwa sana na mashabiki wa muziki, si […]
Read More