Tuzo za iHeartRadio zaongeza kipengele kipya cha msanii bora wa Afrobeats
Kituo cha iHeartRadio kimeanika wazi vipengele vya Tuzo zake za Muziki ambapo kwa mwaka huu kuna kipengele kipya kimeongezwa, ni Afrobeats Artist of the Year. Kwenye kipengele hicho kipya, wakali kutoka nchini Nigeria; Burna Boy, CKay, Tems, Wizkid na Fireboy DML wametajwa kuchuana. Ni kama tu ni marudio ya Soul Train Awards 2022, ambapo wasanii […]
Read More