INSTAGRAM KUWEKA UWEZO WA CONTENT ZA KULIPIA

INSTAGRAM KUWEKA UWEZO WA CONTENT ZA KULIPIA

Instagram ipo katika hatua ya kuweka mfumo wa watu kulipia contents. Mabadiliko ya kuweka Subscription yatapelekea watumiaji kulipia gharama ili kupata baadhi ya post, Insta Stories, na videos za Instagram ambazo zitakuwa zinaonekana kwa Followers ambao wanakulipa kila mwezi kupata nafasi ya kuona post na Insta stories hizo. Kuanzia wiki hii, tayari katika App Store, […]

Read More