Instagram Kuja na Mfumo Mpya wa Picture-in-Picture (PIP) kwa Reels

Instagram Kuja na Mfumo Mpya wa Picture-in-Picture (PIP) kwa Reels

Instagram imeanza kujaribu mfumo mpya wa Picture-in-Picture (PIP), ambao utawawezesha watumiaji wake kuendelea kutazama video za Reels hata baada ya kufunga app ya Instagram. Kwa kutumia teknolojia hii, watumiaji wataweza kufanya shughuli nyingine kwenye simu zao huku bado video ikiendelea kuonekana kwenye kona ya skrini. Kwa mfano, unaweza kutazama Reel huku ukiandika ujumbe kwenye WhatsApp, […]

Read More
 Meta Yaongeza Muda wa Instagram Reels Kwa Dakika 20

Meta Yaongeza Muda wa Instagram Reels Kwa Dakika 20

Kampuni ya Meta kupitia jukwaa lake la Instagram, imetangaza rasmi kuongezwa kwa muda wa video za Reels kutoka dakika 3 hadi dakika 20, hatua ambayo inachukuliwa kama mabadiliko makubwa ya kuvutia watumiaji wanaopendelea maudhui marefu zaidi. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na timu ya Instagram, imeelezwa kuwa ongezeko hili la muda linakusudia kuwapa watumiaji, hasa watoa […]

Read More