INSTAGRAM YAWEKA MFUMO WA KUHAKIKI AKAUNTI KWA KUTUMIA SELFIE VIDEO
Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya Selfie, ambayo inatumwa na kukaguliwa kama anayefungua akaunti ni mtu na sio robot. Instagram itaanza utaratibu huo ili kuzuia akaunti hewa na Spam katika Instagram. Mfumo mpya […]
Read More