PSG Yacharaza Inter Milan 5-0, Yatwaa Kombe la Mabingwa Ulaya kwa Mara ya Kwanza
Paris Saint-Germain (PSG) wameandika historia kwa kushinda taji lao la kwanza la UEFA Champions League kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Inter Milan katika fainali iliyochezwa Munich, Ujerumani, tarehe 31 Mei 2025. Ushindi huu ni mkubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika fainali ya michuano hiyo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1956. PSG walitawala mchezo huo kwa […]
Read More