Internet Explorer kufutwa rasmi

Internet Explorer kufutwa rasmi

Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za watumiaji duniani kote. Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft kwa awamu imekuwa ikiiondoa sokoni bidhaa yake ya Internet Explorer 11 tangu Juni 15 mwaka huu huku programu hiyo ikiwa imedumu kwa takribani miaka 30 sasa. Sasa ni rasmi kuwa Februari […]

Read More