Apple Yaja na Kipengele Kipya cha Kudhibiti Betri kwa Akili Bandia Kupitia iOS 19
Kampuni ya Apple imetangaza kuwa mfumo wao mpya wa uendeshaji, iOS 19, utakuja na kipengele cha kipekee cha kudhibiti matumizi ya betri kwa kutumia akili bandia (AI). Teknolojia hii mpya inalenga kuongeza ufanisi wa matumizi ya nishati kwenye simu kwa kuzingatia tabia ya mtumiaji. Kwa mfano, iOS 19 itaweza kutambua ni programu zipi unazotumia mara […]
Read More