“Siwezi kuacha kuvuta bangi,” akiri Irene Kayemba, dada yake Bobi Wine
Mwanamuziki na mfanyabiashara Irene Kayemba amekiri wazi kuwa hawezi kuacha kuvuta bangi, akisema ni sehemu ya maisha yake ya kila siku. Kayemba, ambaye pia ni dada wa mwanasiasa mashuhuri Bobi Wine, amesema bangi ni dawa ya asili ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa katika afya yake na mwonekano wake. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Kayemba anadai […]
Read More