Irene Ntale Atoa Kauli Tata Kuhusu Majukumu ya Kifedha kwenye Ndoa
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Irene Ntale, amezua mjadala mkali mtandaoni baada ya kutoa mtazamo wake kuhusu mgawanyo wa majukumu ya kifedha ndani ya ndoa. Ntale ambaye juzi kati ameingia kwenye ndoa, amesema kuwa kwenye uhusiano ulio imara na uliopangika vizuri, mwanaume anapaswa kubeba majukumu yote makubwa ya kifedha, akisisitiza kuwa hilo ni hitaji la msingi […]
Read More