IRYN NAMUBIRU AKANUSHA TUHUMA ZA KUMUBURUZA MAHAKAMANI MAMA YAKE MZAZI
Msanii nyota kutoka nchini Uganda Iryn Namubiru amekanusha tuhuma za kumfungulia mashtaka mama yake mzazi kutokana na mzozo wa ardhi unaondelea kati yao. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Iryn Namubiru amesema madai hayo hayana ukweli wowote kwani mama yake huyo amekuwa akimzushia tuhuma za uongo kwa muda sasa kwa lengo la kusambaratisha juhudi zake za […]
Read More