PALLASO AMKANA KWEUPE IVAN KARMA

PALLASO AMKANA KWEUPE IVAN KARMA

Siku chache baada ya Ivan Karma kutishia kumfungulia mashtaka Pallaso kwa kuvunja mkataba wao wa miaka mitano ghafla, msanii huyo ameamua kutia neno juu ya  tuhuma za meneja huyo wa muziki kutoka Uganda. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni msanii huyo amesema hana muda wa kuzungumzia shtuma za ivan karma kwa kuwa anatumia jina lake kutafuta […]

Read More
 PALLASO AKWEPA KESI YA KUVUNJA MKATABA NA MENEJA IVAN KARMA

PALLASO AKWEPA KESI YA KUVUNJA MKATABA NA MENEJA IVAN KARMA

Msanii Pallaso ameripotiwa kudinda kutii amri ya mahakama baaada ya meneja wake wa zamani Ivan Karma kumfungilia mashtaka kwa madai ya kukiuka mkataba wa miaka mitano wa kufanya kazi pamoja. Kulingana na wakili wa Ivan Karma, Pallaso amekuwa akikwepa kutia saini stakabadhi muhimu kwa kudai kuwa ameshikika na majukumu yake ya kikazi. Pallaso anaidaiwa kusaini […]

Read More