Pallaso anyosha maelezo kuhusu ugomvi wake na Ivien Karma.

Pallaso anyosha maelezo kuhusu ugomvi wake na Ivien Karma.

Mwanamuziki nyota nchini Uganda Pallaso amekiri kuwa hajutii kitendo cha kujiondoa kwenye uongozi wa Karma Ivien. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Pallaso amesema hatua hiyo ya kutengana na Karma haitaathiri shughuli zake za muziki siku za mbeleni kwani meneja huyo wa muziki alimtelekeza kipindi cha korona, jambo ambalo lilimfanya kugharamia muziki wake kama msamii wa […]

Read More
 PALLASO AKANUSHA KUTENGANA NA MENEJA WAKE IVIEN KARMA

PALLASO AKANUSHA KUTENGANA NA MENEJA WAKE IVIEN KARMA

Mwanamuziki Pallaso Mayanja amekanusha madai ya kutengana na meneja wake, Kama Ivien. Katika mahojiano, Pallaso amesema bado ana uhusiano mzuri wa kufanya kazi na Karma Ivien licha ya kutomtaja katika wimbo wake mpya “True Love”. Pallaso amesema alizidiwa na mzuka akiwa studio, hivyo akasahau kumpa shavu meneja wake. “Nitakapoacha kufanya naye kazi, nitaweka wazi kwenye […]

Read More