Dufla Diligon Amlalamikia Mulamwah kwa Kumblock Instagram

Dufla Diligon Amlalamikia Mulamwah kwa Kumblock Instagram

Msanii wa muziki wa Kenya, Dufla Diligon, amezua mjadala mtandaoni baada ya kufichua kuwa amefungiwa (blocked) na mchekeshaji maarufu Mulamwah kwenye mtandao wa Instagram. Kupitia Instastory yake, Dufla alisimulia tukio hilo kwa mshangao na utani, akisema kuwa aligundua amefungiwa wakati alipokuwa akitafuta akaunti ya Mulamwah akiwa katika mazungumzo na msanii Lyanii. Β β€œJana tulikuwa na mazungumzo […]

Read More