J. COLE ATHIBITISHA YEYE NDIYE ALIMSHAWISHI DR. DRE AMSAINI KENDRICK LAMAR
Rapa kutoka nchini Marekani J. Cole amefunguka na kusema kwamba yeye ndiye alimuweka Kendrick Lamar kwenye ramani ya muziki wa Hiphop. Kwenye mahojiano na mtangazaji Nardwuar, Cole amekiri kuwa yeye ndiye alimshawishi Dr. Dre amsaini Kendrick kwenye lebo ya muziki ya Interscope Records pamoja na Aftermath Entertainment mwaka wa 2012. Baada ya kuulizwa swali hilo […]
Read More