Jackie Matubia: Sihusiki na Sakata la Ellah na Odek

Jackie Matubia: Sihusiki na Sakata la Ellah na Odek

Mwigizaji na mama wa watoto wawili, Jackie Matubia, amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya jina lake kuhusishwa na drama ya kifamilia inayomkumba Ellah Ray, dada yake sosholaiti Amber Ray, na aliyekuwa mchumba wake Steve Odek. Matubia, amesema hana uhusiano wowote na sakata hilo na ameonya watu wanaomchafulia jina kutumia uvumi mitandaoni. Kupitia Insta Story […]

Read More
 Jackie Matubia Akanusha Madai ya Kuvunja Ndoa ya Mtu

Jackie Matubia Akanusha Madai ya Kuvunja Ndoa ya Mtu

Mwigizaji wa Kenya, Jackie Matubia, hatimaye amevunja ukimya wake kufuatia madai mazito yaliyomhusisha na kuvunjika kwa ndoa ya mwanamke mmoja. Akizungumza baada ya sakata hilo kusambaa mitandaoni, Matubia amekanusha madai hayo, akisema hayana msingi wowote. Ameeleza kuwa taarifa hizo zilibuniwa kwa lengo la kumchafua na kumharibia jina mbele ya mashabiki wake na umma kwa ujumla. […]

Read More
 Jackie Matubia Aeleza Changamoto Alizopitia Katika Malezi ya Pamoja na Ex Wake

Jackie Matubia Aeleza Changamoto Alizopitia Katika Malezi ya Pamoja na Ex Wake

Muigizaji maarufu wa Kenya, Jackie Matubia, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto alizokumbana nazo alipokuwa akijaribu kulea mtoto kwa ushirikiano (co-parenting) na aliyekuwa mpenzi wake, Blessing Lung’aho. Akiwa mgeni kwenye G2G Podcast, Jackie alisema alijitahidi kwa dhati kuhakikisha kuwa mtoto wao analelewa katika mazingira ya upendo na ushirikiano, lakini juhudi zake hazikueleweka vyema na […]

Read More