Mwanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini Kenya akiri kuua kisa usaliti
Mwanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja (LGBTG) Nchini Jackson Odhiambo amekiri kumuua mpenzi na mume wake Edwin Chiloba kwa madai ya kumsaliti kimapenzi. Wawili hao walikuwa wanaishi pamoja kama mke na mme kwa takribani mwaka mmoja kabla ya tukio hilo la kutisha. Odhiambo almaarufu Lizer ambaye alikiri kuwa alilazimika kupanga mauaji hayo kwa usaidizi wa […]
Read More