JAGUAR AGEUKIA MUZIKI BAADA YA KUSHINDWA NA SIASA
Aliyekuwa Mbunge wa Starehe Charles Njagua, almaarufu Jaguar amerejea rasmi kazi yake ya muziki baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha Ubunge. Jaguar, ambaye anasherehekewa na wengi kutokana nyimbo zake kali alizozitoa kipindi cha nyuma, ameachia wimbo wake mpya uitwao “Nitume” ambao amemshirikisha msanii wa injili kutoka Uganda Ambassador. “Nimeachia wimbo wangu mpya #Nitume baada […]
Read More