JAGUAR AFUNGUKA BAADA YA KUPOTEZA MCHUJO WA CHAMA CHA UDA

JAGUAR AFUNGUKA BAADA YA KUPOTEZA MCHUJO WA CHAMA CHA UDA

Msanii aliyegeukia siasa Jaguar amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kushindwa kwenye mchujo wa kumchagua mgombea wa ubunge katika eneo la Starehe kupitia Chama cha UDA. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaguar ameonekana kutokubali ushindi wa Simon Mbugua ambaye alimshinda kwenye uchaguzi wa mchujo wa chama cha UDA uliofanyika Aprili 21 kwa kusema kwamba […]

Read More