JAKE PAUL ATAKA VITA YA KANYE WEST NA PETE DAVIDSON IISHE KIUME, AWAANDALIA PAMBANO LA NGUMI
Bondia maarufu kutoka Marekani Jake Paul ametaka vita ya maneno inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kati ya rapa Kanye West na Pete Davidson kuhusu Kim Kardashian ifike mwisho. Staa huyo mwenye umri wa miaka 25 ametoa ofa ya shilling billioni 3.4 za Kenya kwa kila mmoja kupambana ulingoni ili kumaliza vita yao kwa mwanamama Kim […]
Read More