Jalang’o akanusha kutoka kimapenzi na Diana B
Mchekeshaji aliyegeùkia siasa Jalang’o amepuzilia mbali uvumi wa muda mrefu kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mke wa Bahati, Diana B. Kwenye mahojiano na Mungai Eve, Jalango ambaye ni mbunge wa Lang’ata amekanusha madai hayo kwa kusema kwamba uhusiano wake na Diana ulikuwa ni wa kirafiki tu. Aidha amenyosha maelezo kuhusu picha inayosambaa mtandaoni akiwa na […]
Read More