Meneja wa muziki nchini Uganda James Mulwana afunguka kuvunja mkataba na msanii Ronald Alimpa
Misala haiishi kwa msanii Ronald Alimpa kutoka nchini Uganda, 2022 unakuwa mwaka mbaya kwake. Baada ya msala wa ajali ya barabarani uliompelekea kulazwa hospitalini, sasa ni zamu ya meneja wake James Mulwana. Mulwana ambaye amekuwa akimsimamia kimuziki ametangaza kuvunja mkataba na msanii huyo kutokana na tabia yake ya utukutu. Katika mahojiano yake hivi karibuni meneja […]
Read More