Janet Jackson mbioni kuachia Album yake mpya

Janet Jackson mbioni kuachia Album yake mpya

Nyota wa muziki kutoka Marekani Janet Damita Jo Jackson maarufu kama Janet Jackson ambaye ni dada wa marehemu Michael Jackson, ametangaza uzinduzi wa pili wa album yake iitwayo ”The Velvet Rope”. Kampuni ya Universal Music Group pia imethibitisha hilo na kueleza kwamba album hiyo ambayo ilizinduliwa kwa mara ya kwanza Oktoba 7 mwaka 1997, itazinduliwa […]

Read More