Msanii wa Injili Janet Otieno Awabariki Mashabiki na EP Mpya
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Janet Otieno ameanza msimu mpya wa huduma yake ya muziki kwa kuachia rasmi EP yake ya kwanza iitwayo “Unaposhuka”, ambayo sasa inapatikana katika majukwaa yote ya muziki mtandaoni. Kupitia ujumbe wake kwa mashabiki, Janet ameeleza kuwa amefurahia sana kuachia kazi hii mpya ambayo imebeba ujumbe wa kumtukuza Mungu. Msanii huyo […]
Read More