Shirikisho la Riadha Duniani Lafanya Mabadiliko kwa Hofu ya Joto Tokyo
Shirikisho la Riadha Duniani limetangaza kuwa mabadiliko yamefanywa kwenye nyakati za kuanza kwa mashindano yote ya barabarani yatakayoandaliwa katika siku tatu za kwanza za Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika jijini Tokyo, Japan, kutokana na hali ya juu ya joto inayotarajiwa jijini humo ambayo inaweza kuhatarisha afya na usalama wa wanariadha. Mashindano yaliyoathiriwa na mabadiliko […]
Read More