JASON DERULO ATAJA SABABU YA MASHINDANO YA MUZIKI KUFELI KUTOA MASTAA

JASON DERULO ATAJA SABABU YA MASHINDANO YA MUZIKI KUFELI KUTOA MASTAA

Msanii nyota kutoka nchini Marekani Jason Derulo amefunguka sababu zinazofanya mashindano mengi ya uimbaji kushindwa kutoa Mastaa wenye uwezo wa kiushindani wanapoingia kwenye muziki. Kwenye mahojiano na Billboard, Jason amesema mashindano mengi kama The Voice Chilevision na American Idol hushindwa kutoa Mastaa kwa sababu huzingatia sauti ya msanii pekee na kusahau vitu vya ziada. Msanii […]

Read More
 JASON DERULO AMPIGA MTU NGUMI YA USO KISA KUITWA USHER

JASON DERULO AMPIGA MTU NGUMI YA USO KISA KUITWA USHER

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo anadaiwa kuwashambulia watu wawili baada ya watu hao kumwita jina la “Usher” Kwa mujibu wa TMZ wameripoti kuwa tukio hilo limetokea kwenye Hoteli moja huko Las Vegas nchini Marekani. Mashahidi wanasema kuwa mtu mmoja alimwita Jason kwa jina la Usher jambo ambalo lilimchukiza staa huyo na kuanza kumshambulia kwa […]

Read More