JAY Z AJIONDOA INSTAGRAM BAADA YA KUDUMU KWA SAA 24
Ni kama Rapa Jay Z hajaona umuhimu wa kuutumia mtandao wa kijamii wa Instagram hii ni baada ya kudumu kwenye mtandao huo kwa chini ya masaa 24 kisha kujiondoa. Siku ya jana November 3,mwaka wa 2021 Rapa Jay Z alijiunga rasmi na mtandao wa kijamii wa Instagram na kum-follow mke wake Beyonce kisha ku-post picha […]
Read More