Jeezy Adai Jay Z Alimtoa Kwenye Wimbo wa Beyoncé

Jeezy Adai Jay Z Alimtoa Kwenye Wimbo wa Beyoncé

Rapa kutoka Marekani, Jeezy, amefunguka kuhusu tukio lililomkuta nyuma ya pazia la utengenezaji wa wimbo maarufu wa Beyoncé “Drunk In Love”. Jeezy ameeleza kuwa awali alikuwa sehemu ya mradi huo, tayari akiwa ameandika verse yake kwa ajili ya kushiriki kwenye wimbo huo, lakini mambo yalibadilika ghafla. Kwa mujibu wa Jeezy, baada ya maandalizi ya awali […]

Read More
 Nicki Minaj Afunguka Kuhusu Sakata la Deni la Tidal

Nicki Minaj Afunguka Kuhusu Sakata la Deni la Tidal

Mwanamuziki maarufu wa hip hop, Nicki Minaj, ameibua shinikizo kwa rapa na mwekezaji, Jay-Z, akidai kuwa anamdai kati ya dola milioni 100 hadi 200 baada ya kuuza mtandao wa kusikiliza muziki wa TIDAL mwaka 2021. Katika madai haya ambayo yamezua gumzo mitandaoni, Nicki amesema kuwa alikuwa mmoja wa wasanii wa awali kumiliki sehemu ya mtandao […]

Read More
 Jay Z kusaidia kukamilisha onesho la Rihanna kwenye Super Bowl

Jay Z kusaidia kukamilisha onesho la Rihanna kwenye Super Bowl

Rapa kutoka Marekani Jay-Z ametajwa kuhusika kwenye mpangilio wote wa onesho la Rihanna kwenye Halftime show ya Super Bowl ambayo itafanyika Februari 12, mwaka 2023. Jay-Z ambaye alimsaini Riri kwenye label ya Def Jam mwaka 2005, alianza kuihudumia NFL kwenye sekta ya burudani tangu mwaka 2019 ambapo kwenye utawala wake alifanikiwa kuangusha performance kubwa ya […]

Read More
 Baba mzazi wa Rapa Tory Lanez amshtumu Jay Z kwa kuhujumu kesi inayomkabili mwanaye

Baba mzazi wa Rapa Tory Lanez amshtumu Jay Z kwa kuhujumu kesi inayomkabili mwanaye

Baba mzazi wa Rapa Tory Lanez ameonekana kutoridhishwa na maamuzi ya mahakama kumkuta na hatia mwanaye kwenye shtaka la kumpiga risasi Megan Thee Stallion ambapo huenda akahukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 20 gerezani. Akiwa nje ya Mahakama, mzee huyo Sonstar Peterson, amemshtumu rapa Jay-Z pamoja Roc Nation kuwa wamehusika nyuma ya pazia kwenye maamuzi […]

Read More
 JOE BUDDEN AANIKA MADHAIFU YA JAY Z KWA UMMA

JOE BUDDEN AANIKA MADHAIFU YA JAY Z KWA UMMA

Rappa na Mtangazaji kutoka nchini Marekani Joe Budden hajaona sababu yoyote ya kuikalia kimya kauli ya rappa Jay Z kuto toza kiasi chochote cha pesa katika ngoma anazo shirikishwa. Akiwa kwenye Episode mpya ya Flip Da Script podcast, Budden amesema Jay Z aliwahi kumtoza kiasi cha $250k ili kumpata kwenye remix ya ngoma yake ya […]

Read More
 JAY Z AFUNGUKA SABABU ZA KUTOTUMIA MITANDAO YA KIJAMII

JAY Z AFUNGUKA SABABU ZA KUTOTUMIA MITANDAO YA KIJAMII

Rapa kutoka Marekani Jay-Z anazidi kutufunulia kurasa za kitabu cha maisha yake kwa kufunguka mengi kuhusu yeye, na sasa ni kurasa ya mitandao ya kijamii. Kwenye mahojiano ya hivi karibuni na mchekeshaji kevin Hart kupitia podcast ya “Hart to Heart”,Jay-z amefunguka sababu zinazomfanya kutotumia mitandao ya kijamii kwa kile anachodai kuwa mitandao hiyo sio kwaajili […]

Read More
 KUMBE THE GAME ALIMTUPIA JAY Z MATUSI MAZITO BAADA YA KUMNYIMA NAFASI YA KUTUMBUIZA KWENYE SUPER BOWL 2022

KUMBE THE GAME ALIMTUPIA JAY Z MATUSI MAZITO BAADA YA KUMNYIMA NAFASI YA KUTUMBUIZA KWENYE SUPER BOWL 2022

Rapa The Game kutoka Marekani amekasirika sana baada ya kukosa nafasi ya kutumbuiza kwenye Halftime show ya Super Bowl 2022, Wiki iliyopita alitokwa mapovu na kusema 50 Cent hakustahili kupewa nafasi hiyo. Meneja wake aitwaye Wack 100 ameibuka na kutusanua makubwa ambayo hatuyafahamu nyuma ya pazia. Wack 100 amesema The Game alimtukana Jay-Z tusi zito […]

Read More
 JAY Z KUMFUNGULIA MASHTAKA MPIGA PICHA WAKE KWA KUTUMIA PICHA ZAKE BILA IDHINI

JAY Z KUMFUNGULIA MASHTAKA MPIGA PICHA WAKE KWA KUTUMIA PICHA ZAKE BILA IDHINI

Rapa mkongwe kutoka Marekani Jay-Z ameamua kumfikisha mahakamani aliyekuwa mpiga picha wake kwa madai ya kutumia picha zake Kibiashara bila idhini yake. Baada ya kushindwa kufikia makubaliano nje ya mahakama, sasa shtaka hilo limetajwa kuwa litaanza kusikilizwa Julai 22 mwaka huu. Mwaka jana Jay-Z alifungua mashtaka akidai kwamba mpiga picha huyo aitwaye Jonathan Mannion ambaye […]

Read More
 JAY Z AJINASIBU HAKUNA WAKUSHINDANA NAYE KWENYE VERZUZ

JAY Z AJINASIBU HAKUNA WAKUSHINDANA NAYE KWENYE VERZUZ

Rapa mkongwe kutoka nchini Marekani Jay Z amefunguka kuhusu VERZUZ na kujigamba kwamba hakuna msanii yeyote ambaye anaweza kusimama na kushindana naye kwenye Jukwaa hilo. Kupitia Twitter Spaces ambayo iliwakutanisha pamoja na Alicia Keys na wadau wengine wa muziki kujadili kuhusu album mpya ya Alicia Keys ‘KEYS’ Jay-Z alisikika akisema “Hakuna wa kusimama/kushindana na mimi […]

Read More