Prodyuza JBlessing Aachia Rasmi Albamu ya Ngoma 14 Kumuenzi Raila Odinga
Mtayarishaji na mwongozaji wa muziki nchini Kenya, JBlessing, ametoa albamu mpya yenye nyimbo 14 iliyopewa jina “RAILA”, kama heshima kwa hayati Raila Amolo Odinga. Albamu hiyo, ambayo imetolewa rasmi jana, inalenga kumuenzi kiongozi huyo wa kisiasa ambaye maisha na urithi wake umeacha alama kubwa katika historia ya taifa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, JBlessing ameeleza […]
Read More