Jeezy Adai Jay Z Alimtoa Kwenye Wimbo wa Beyoncé
Rapa kutoka Marekani, Jeezy, amefunguka kuhusu tukio lililomkuta nyuma ya pazia la utengenezaji wa wimbo maarufu wa Beyoncé “Drunk In Love”. Jeezy ameeleza kuwa awali alikuwa sehemu ya mradi huo, tayari akiwa ameandika verse yake kwa ajili ya kushiriki kwenye wimbo huo, lakini mambo yalibadilika ghafla. Kwa mujibu wa Jeezy, baada ya maandalizi ya awali […]
Read More