Jennifer Lopez Azua Taharuki AMAs kwa Mabusu ya Jukwaani

Jennifer Lopez Azua Taharuki AMAs kwa Mabusu ya Jukwaani

Mwanamuziki nyota Jennifer Lopez ameibua gumzo kubwa baada ya kufanya onyesho la kuvutia katika Tuzo za American Music Awards 2025, ambapo aliwabusu mcheza densi wa kiume na wa kike jukwaani mbele ya hadhira kubwa mjini Los Angeles. Tukio hilo lilijiri wakati wa onyesho la ufunguzi wa hafla hiyo, ambapo Lopez alionesha ujasiri, ubunifu na utawala […]

Read More
 Jennifer Lopez Akumbwa na Kesi ya Haki Miliki kwa Kuposti Picha za Paparazzi Bila Ruhusa

Jennifer Lopez Akumbwa na Kesi ya Haki Miliki kwa Kuposti Picha za Paparazzi Bila Ruhusa

Mwanamuziki na muigizaji nyota wa Marekani, Jennifer Lopez, anakabiliwa na madai ya ukiukaji wa haki miliki baada ya kuripotiwa kuposti picha mbili za paparazzi bila kulipia leseni ya matumizi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Billboard, picha hizo zilipigwa wakati Lopez alipokuwa nje ya hafla ya tuzo za Golden Globes mwezi Januari,na baadaye kupostiwa kwenye akaunti […]

Read More
 Jennifer Lopez atangaza ujio wa Album mpya

Jennifer Lopez atangaza ujio wa Album mpya

Mwimbaji mkongwe kutoka nchini Marekani, Jennifer Lopez ametangaza ujio wa Album yake mpya ambayo ameipa Jina la “This Is Me… Now” ambayo itatoka mwaka 2023. Album hiyo ina jumla ya nyimbo 13 huku wimbo namba moja ambao ni “This Is Me… Now” ukibeba jina album hiyo. Album hii itazifuata album zake nyingine kama; J.Lo, On […]

Read More
 JENNIFER LOPEZ AFUNGUKA KUTAKA KUACHA MUZIKI

JENNIFER LOPEZ AFUNGUKA KUTAKA KUACHA MUZIKI

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jennifer Lopez amefunguka kwamba ilibaki kidogo aachane na muziki kutokana na watu kuzungumzia sana mahusiano yake na kumkosoa sana kuhusu mwili wake. Kwenye Documentary yake mpya “Halftime” ambayo imeanza kuruka kupitia Netflix, Jennifer Lopez amesema muziki wake ulifunikwa na maneno ya watu ambao walikuwa wakimkosoa kwa mengi ikiwemo kukosa makalio makubwa […]

Read More