Penzi la Stevo Simple Boy na Jenny Wangui lavunjika rasmi
Mahusiano ya Stevo Simple Boy na Mrembo Jenny Wangui yamefika mwisho ikiwa ni miezi miwili tangu wawili hao waanze kuchumbiana. Stevo amefuta picha zote akiwa na mrembo huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram siku chache baada ya watumiaji wa mtandao wa Tinder kuibua madai kuwa Jenny Wangui ana akaunti kwenye mtandao huo wa kuwatafuta wapenzi. […]
Read More