Ye Aomba Msamaha kwa Mungu, Atangaza Kuachana na Chuki Dhidi ya Wayahudi
Rapa mwenye utata na mabadiliko ya ghafla, Kanye West, anayejulikana pia kama Ye, ameandika ujumbe mzito wa toba kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), akiomba msamaha kwa Mungu kwa maumivu aliyowahi kusababisha, huku akitangaza kuwa amewasamehe wote waliomuumiza. Katika ujumbe huo uliojaa hisia, Ye alisema ameacha kabisa chuki aliyokuwa nayo dhidi ya Wayahudi, na sasa […]
Read More