JOH MAKINI AMTOLEA UVIVU SALLAM SK KISA NGOMA YA DON’T BOTHER ALIYOMSHIRIKISHA RAPA AKA
Msanii wa Hip Hop Bongo kutoka kundi la Weusi, Joh Makini amekanusha vikali madai ya Sallam SK kuhusu kolabo yake na Rapa wa Afrika Kusini, AKA. Katika show ya The Joint ya Dizzim TV, Sallam SK alidai kuwa yeye ndiye aliyeunganisha kolabo ya Joh Makini na AKA (Don’t Bother) bila malipo yoyote. Joh Makini kupitia […]
Read More