John Segawa Amshauri Chameleone Kuachana na Bifu na Alien Skin

John Segawa Amshauri Chameleone Kuachana na Bifu na Alien Skin

Mkurugenzi wa filamu nchini Uganda, John Segawa, ameibua mjadala baada ya kutoa maoni yake kuhusu bifu linaloendelea kati ya nyota wa muziki Jose Chameleone na msanii chipukizi mwenye ushawishi mkubwa, Alien Skin. Akizungumza kuhusu mvutano huo, Segawa amesema wazi kuwa Chameleone, kiongozi wa Leone Island, hana nafasi ya kushindana na Alien Skin kwa sababu ya […]

Read More