Jay-Z na Jonathan Mannion wamaliza tofauti zao nje ya mahakama
Jay-Z ameafikiana na Jonathan Mannion kwenye shtaka ambalo Rapa huyo mkongwe na Mfanyabiashara alimshtaki mpiga picha huyo ambaye alikuwa nyuma ya cover za Album kama ‘Reasonable Doubt, ‘Hard Knock Life’ na The Blueprint. Hov alimshtaki Mannion na Kampuni yake mwezi June 2021 kwa madai ya mpiga picha huyo kunufaika kupitia Jina lake kwa kuuza picha […]
Read More