Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

Mjukuu wa hayati Bob Marley aitwaye Joseph ‘Jo Mersa’ Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31. Mwimbaji huyo wa muziki wa Reggae amekutwa akiwa amefariki kwenye gari lake Disemba 27. Sababu ya kifo chake bado haijathibitishwa lakini kituo cha Redio WZPP cha mjini Florida kimeripoti kwamba kifo chake kimetokana na maradhi ya Pumu […]

Read More